Bride:HAPPYNESS ABDALLAH
Event:Send off
Venue:G 5 Hall Kigamboni Mjimwema
Cake:Philipo Mbonde-0654-598331
Décor/color:Gold and white
Make up:Hanny hair dressing salon KigamboniHii ni send off ya miss Happyness Abdallah iliyofanyika jumamosi ya tarehe 18/10/2014 katika ukumbi wa G5 Mji mwema Kigamboni jijini Dar es salaam ambapo sherehe hiyo ilianza majira ya saa moja usiku na kumalizika majira ya saa tano kamili.
![]() |
Miss Happyness Abdallah katika pozi |
![]() |
Miss Happyness akiwa na matroni wake Bi Rebecca Dickson katika pozi la pamoja |
![]() |
Miss Happyness na matroni wake Bi Rebecca wakipata vinywaji |
![]() |
Mc wa shughuli akifanya mambo yake |
![]() |
Miss Happyness akielekezwa jinsi ya kukata keki na matroni wake |
![]() |
Bi Rebecca akimlisha keki Bi Harusi mtarajiwa |
![]() |
Miss Happyness akirudisha shukrani kwa matroni wake kwa kumlisha keki |
![]() |
Miss Happyness akimtambulisha mme wake mtarajiwa bwana Salehe Ramadhani |
![]() |
Miss Happyness akimvisha saa kama zawadi maalum mpenzi wake |
![]() |
Zawadi ya saa hiyo |
![]() |
Mama mlezi wa Bi harusi mtarajiwa akisema maneno yake ya mwisho kumuaga mwanae |
![]() |
Kwaheri mwanangu nenda salama |
![]() |
Babu wa Bi harusi mtarajiwa nae akinena jambo |
![]() |
Miss Happyness akiteta jambo na mdogo wake |
![]() |
Mama na mwana hao ktk kuagana |
![]() |
Mahanjumati sasa hapoooo! |
![]() |
Madada na wadogo zake Miss Happyness wakimwonyesha zawadi ya dressing table waliomtunza |
![]() |
Miss Happyness akiyarudi mambo ya kwaito |
![]() |
Kwaherini jamani |
No comments:
Post a Comment