Ni jambo la furaha kwangu na kwa wengine wanaomfahamu
kijana mwenzangu huyu kumuona akipata jiko na kuachana na maisha ya ukapela,si mwingine bali ni James Temu anaejulikana kwa jina la uncle Jimmy
amefunga pingu za maisha na bibie Sia Kimario jumamosi ya tarehe 27/09/2014
katika kanisa la KKKT Kijitonyama.Shughuli hii iliendelea jioni kwa tafrija
fupi iliyofanyika katika ukumbi wa Lulu uliopo Sinza Mapambano jijini Dar es
salaam.
|
Uncle Jimmy na mkewe Sia Kimario katika pozi la pamoja
|
|
Bwana Harusi James Temu na Bi Harusi Sia Kimario wakiwa wamesimama baada ya kuingia ukumbini
|
|
katika pozi tena Maharusi
|
nimefanya kazi nawe,nimesali nawe na
kuimba nawe,Tangu ulipokuwa Praise Power fm hadi kufika hapo ni hatua kubwa umeifikia, Daima sitakusahau kaka yangu katika ushauri uliokuwa unanipatia na misemo yako kama 'mdogomdogo'. Sasa kazi kwetu kwa sie vijana ambao hatujaoa ama kuolewa kujipanga vizuri katika hili.HONGERENI, NOW IS MR. AND MRS. JAMES TEMU
No comments:
Post a Comment