Ni tukio la kubariki sana lililofanywa na watu hawa siku ya jumapili ya tarehe 17/09/2014 katika kanisa la T.A.G KIMARA MAVURUNZA majira ya saa 9:00 alasiri na baadae kumalizika kwenye tafrija iliyofanyika katika ukumbi wa PENTAGON karibu na serikali za mtaa TEMBONI.
Embu tujionee wenyewe mambo yalivyokuwa...........
| Maharusi wakitoka nje ya kanisa |
Maharusi ktk pozi |
| Picha ya pamoja nje ya kanisa |
| Weddingmaids/wapambe wakiingia ukumbini kwa manjonjo |
| MC P Mukubwa akiiendesha shughuli hiyo ndani ya ukumbi wa Pentagon Hall |
| MC P Mukubwa akijaribu kwenda sambamba na wapambe wa harusi wakicheza katika show yao |
| Kwaya ya Spiritual healing kutoka T.A.G Mavurunza wakiburudisha ktk harusi hiyo |

